5.00
(1 Rating)

Maji ni Uhai: Umuhimu wa Kunywa Maji ya Kutosha kwa Afya Bora ya Damu

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

What Will You Learn?

 • Kozi hii ni ya Masomo matano iitwayo: "Kunywa Maji ya Kutosha kwa Afya Bora ya Damu" itachunguza umuhinu usiopingika wa maji katika utunzwaji wa afya bora mwilini mwa mwanadamu.
 • Somo 1:Jinsi Maji Yanavyoathiri Afya Yetu
 • - Kujifunza jinsi maji yanavyosaidia mwili wetu kufanya kazi na kutoa umuhimu wa kunywa maji ya kutosha.
 • Somo 2: Athari za Kukosa Maji ya Kutosha
 • - Kuchunguza athari za kukosa maji mwilini na jinsi inavyoweza kuathiri afya yetu.
 • Somo 3: Mahitaji ya Maji kulingana na Umri na Aktiviti
 • - Kujifunza jinsi mahitaji ya maji yanavyobadilika kulingana na umri na kiwango cha shughuli za kila siku.
 • Somo 4: Njia za Kuhakikisha Unakunywa Maji ya Kutosha
 • - Kujifunza mbinu za kuhakikisha tunakunywa maji ya kutosha na jinsi ya kuweka ratiba bora.
 • Somo 5: Maji na Afya ya Akili na Ngozi
 • - Kuchunguza jinsi kunywa maji ya kutosha kunavyoathiri afya ya akili na ngozi.
 • Mada muhimu: maji, afya, kunywa maji, umuhimu wa maji, kunywa maji ya kutosha, afya bora, mahitaji ya maji, athari za kukosa maji, ngozi na maji, afya ya akili, kunywa maji kulingana na umri, mbinu za kunywa maji, mlo na maji, maji mwilini.

Student Ratings & Reviews

No Review Yet
No Review Yet
Set your categories menu in Header builder -> Mobile -> Mobile menu element -> Show/Hide -> Choose menu
Shopping cart
Start typing to see posts you are looking for.
Shop
Sidebar
Wishlist
0 items Cart
My account