4.50
(2 Ratings)

Kisukari: Njia za Kujikinga na Kudhibiti Afya Yako

Wishlist Share
Share Course
Page Link
Share On Social Media

What Will You Learn?

 • Kozi hii iitwayo: Kisukari: Njia za Kujikinga na Kudhibiti Afya Yako" - ni kozi nyeti inayodadavua jinsi tunavyoweza kukabiliana kwa mafanikio makubwa na athari ya Kisukari (Diabetes), kwa afya zetu:
 • Somo 1:
 • Kuelewa Kisukari na Aina Zake
 • - Maelezo ya kina kuhusu Kisukari na tofauti kati ya aina ya 1 na 2.
 • - Kugundua dalili za Kisukari.
 • Somo 2
 • Lishe Bora kwa Wagonjwa wa Kisukari
 • - Jinsi ya kudhibiti viwango vya
 • sukari kwa njia ya lishe.
 • - Chakula sahihi na mazoezi kwa
 • wagonjwa wa Kisukari.
 • Somo 3:
 • Matunzo Binafsi kwa Wagonjwa wa Kisukari
 • - Ufuatiliaji wa viwango vya sukari na
 • matumizi ya dawa.
 • - Kujifunza kujisimamia na kudhibiti
 • hali.
 • Somo 4:
 • Athari na Matatizo ya Kisukari
 • - Athari za muda mrefu za Kisukari
 • kwenye viungo vya mwili.
 • - Njia za kuzuia na kutibu matatizo
 • hayo.
 • Somo 5:
 • Kuishi na Kisukari kwa Afya na Furaha
 • - Mbinu za kuboresha ubora wa
 • maisha na kuishi kwa furaha.
 • - Kusaidia wengine kuelewa Kisukari
 • na kujenga jamii yenye uelewa.
 • Madaa muhimu: Kisukari, aina ya Kisukari, lishe bora, usimamizi wa sukari, athari za Kisukari, matatizo ya Kisukari, afya na Kisukari, kuzuia Kisukari, dalili za Kisukari, matunzo ya Kisukari.

Student Ratings & Reviews

No Review Yet
No Review Yet
Set your categories menu in Header builder -> Mobile -> Mobile menu element -> Show/Hide -> Choose menu
Shopping cart
Start typing to see posts you are looking for.
Shop
Sidebar
Wishlist
0 items Cart
My account